Afrika
Uwindaji wa wanyamapori: Kwa nini hatua ya Namibia-Zimbabwe si ya uhakika?
Uamuzi wa Namibia na Zimbabwe wa kuwinda wanyamapori ili kulisha familia zilizokumbwa na hali mbaya ya ukame Kusini mwa Afrika katika miongo kadhaa umesababisha malalamiko miongoni mwa wahifadhi, wanahofia kuwa hatua hiyo inaweza kuwa haina tija.
Maarufu
Makala maarufu