Logo
    • Türkiye

      Türkiye

    • Afrika

      Afrika

    • Ulimwengu

      Ulimwengu

    Habari

    • Biashara

      • Michezo

        • Maoni

          • Maisha

            • Video

              • Uchambuzi

                  • English

                    English

                  • Français

                    Français

                  • Hausa

                    Hausa

                  Swahili

                • Ukurasa wa nyumbani

                Afrika

                Demokrasia iko shakani, Uturuki ndio suluhu ya mustakabali wa Umoja wa Ulaya— Erdogan

                Demokrasia iko shakani, Uturuki ndio suluhu ya mustakabali wa Umoja wa Ulaya— Erdogan

                Kulingana na Erdogan, ni Uturuki tu, kupitia uanachama wake wa kudumu ndio utakaoweza kuisaidia Jumuiya ya Ulaya.
                Sudan Kusini yasitisha matumizi ya mitandao ya kijamii kwa siku 90

                Sudan Kusini yasitisha matumizi ya mitandao ya kijamii kwa siku 90

                Katazo hilo linafuatia kusambaa kwa picha za video zinazoonesha mateso na masumbuko ya wakimbizi wa Sudan Kusini walioko katika eneo la Wad Medani, nchi jirani ya Sudan.
                Dorothy Semu atangaza nia ya kugombea urais Tanzania

                Dorothy Semu atangaza nia ya kugombea urais Tanzania

                Semu anakuwa mwanasiasa wa kwanza kutoka upande wa upinzani kutangaza azma ya kuwania nafasi ya juu kabisa ya uongozi nchini Tanzania.

                Makala yanayovuma

                SADC yazindua timu ya uangalizi wa uchaguzi nchini Mauritius

                SADC yazindua timu ya uangalizi wa uchaguzi nchini Mauritius

                Misheni hiyo ilizinduliwa na Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mohammed Chande Othman, jijini Port-Louis nchini Mauritius.
                Umoja wa Afrika walaani vurugu baada ya uchaguzi nchini Msumbiji

                Umoja wa Afrika walaani vurugu baada ya uchaguzi nchini Msumbiji

                Tume ya AU imesema Mwenyekiti anaendelea kufuatilia kwa karibu matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Msumbiji uliofanyika Oktoba 9, 2024 na anaeleza wasiwasi wake kuhusu matukio ya ghasia za baada ya uchaguzi na hasa mauaji ya hivi karibuni.
                Wanasheria wa Afrika wataka kuondolewa kwa adhabu ya kifo

                Wanasheria wa Afrika wataka kuondolewa kwa adhabu ya kifo

                Wanasheria hao, kupitia umoja wao barani Afrika (PALU) tayari wamepeleka shauri lao katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) wakionesha nia yao.
                Maarufu
                Tanzania: Rais Samia akatiza ziara ya nje kufuatia maporomoko nchini mwake

                Tanzania: Rais Samia akatiza ziara ya nje kufuatia maporomoko nchini mwake

                Serikali ya Tanzania imesema itagharamia gharama za mazishi huku idadi ya majeruhi ikipita watu 80 kufuatia mafuriko ya Katesh wilayani Hanang, mkoani Manyara.
                Picha za kuwaunga mkono Wapalestina huko Bo-Kaap, Afrika Kusini

                Picha za kuwaunga mkono Wapalestina huko Bo-Kaap, Afrika Kusini

                Mradi wa uchoraji wa ukuta unaoitwa "Malaika wa Gaza" unageuza kuta za nyumba kuwa turubai yenye ujumbe wa kuwaunga mkono watu wa Palestina na kulaani ukatili wa Israel.
                Mabasi yaliyobeba zaidi ya watoto 400 kutoka Zimbabwe yakamatwa A. Kusini

                Mabasi yaliyobeba zaidi ya watoto 400 kutoka Zimbabwe yakamatwa A. Kusini

                Zaidi ya Wazimbabwe milioni 1 wanaishi Afrika Kusini, wengi wao wakihamia nchi hiyo jirani ndani ya kipindi cha miaka 15 iliyopita wakikwepa changamoto za kiuchumi nchini Zimbabwe
                Rais wa zamani wa Mauritania ahukumiwa kwenda jela kwa ufisadi

                Rais wa zamani wa Mauritania ahukumiwa kwenda jela kwa ufisadi

                Rais wa zamani wa Mauritania Mohamed Ould Abdel Aziz amefungwa jela kwa kujipatia mali kinyume cha sheria wakati akiwa madarakani
                Niger inasitisha ushirikiano wa kiusalama na Umoja wa Ulaya

                Niger inasitisha ushirikiano wa kiusalama na Umoja wa Ulaya

                Serikali ya Niger imetangaza kumalizika kwa mikataba kadhaa na Umoja wa Ulaya (EU), ikiwa ni pamoja na makubaliano ya usalama.
                Makala maarufu
                Balozi wa Marekani Kenya: Tengeza ajira kwanza kabla ya kuongeza ushuru

                Balozi wa Marekani Kenya: Tengeza ajira kwanza kabla ya kuongeza ushuru

                Rais wa Kenya William Ruto amefichua azma yake ya kuongeza ushuru hadi kufikia asilimia 22. Hatua ambayo inaonekana kuzua gumzo nchini humo huku baadhi ya wananchi wakisema kwamba hatua hiyo itaongeza ugumu wa maisha.
                Logo
                Hakimiliki © TRT Afrika 2025

                Shirika

                • Kuhusu TRT Afrika
                • Wasiliana Nasi

                Majukumu ya Kisheria

                • Sera ya Faragha
                • Sera ya Vidakuzi
                • Kanuni na Masharti
                • TRT AfrikaYoutube
                • TRT AfrikaTwitter
                • TRT AfrikaFacebook
                • TRT AfrikaInstagram
                • TRT AfrikaTikTok