Logo
    • Türkiye

      Türkiye

    • Afrika

      Afrika

    • Ulimwengu

      Ulimwengu

    Habari

    • Biashara

      • Michezo

        • Maoni

          • Maisha

            • Video

              • Uchambuzi

                  • English

                    English

                  • Français

                    Français

                  • Hausa

                    Hausa

                  Swahili


                • Ukurasa wa nyumbani

                Ulimwengu

                Papa Francis aonya kuhusu athari za akili mnemba

                Papa Francis aonya kuhusu athari za akili mnemba

                Katika ujumbe wake kwa mkutano wa viongozi wa dunia mjini Davos papa alisifu uwezo wa teknolojia lakini akasema pia unazua wasiwasi kuhusu mustakabali wa binadamu.
                Donald Trump aapishwa kama Rais wa 47 wa Marekani

                Donald Trump aapishwa kama Rais wa 47 wa Marekani

                Rais Trump alikula kiapo mbele ya Jaji Mkuu John Roberts, huku akiwa amegusa Biblia mbili zilikuwa zimeshikwa na mke wake, Melania Trump.
                Hamas, Israeli zakubaliana kusitisha vita vya Gaza

                Hamas, Israeli zakubaliana kusitisha vita vya Gaza

                Mashambulizi ya Israeli dhidi ya Gaza yameua zaidi ya Wapalestina 46,700 toka mwezi Oktoba 2023.

                Makala yanayovuma

                Majeshi ya Israeli yamuua mwanahabari wa Anadolu

                Majeshi ya Israeli yamuua mwanahabari wa Anadolu

                Hadi kufikia sasa, jumla ya wanahabari wakipalestina wameuwawa Gaza, kulingana na Shirika la Habari la Palestina, Wafa.
                Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau ajiuzulu

                Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau ajiuzulu

                Utawala wa Trudeau, ambaye amekuwepo madarakani tangu mwaka 2015, umekumbwa na ‘sintofahamu’ inayotokana na kukosekana kwa imani juu ya uongozi wake, hasa baada ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Waziri wa Fedha wa nchi hiyo mwaka 2024.
                Hamas wathibitisha kifo cha Sinwar, waapa kuendeleza mapambano

                Hamas wathibitisha kifo cha Sinwar, waapa kuendeleza mapambano

                Afisa wa Hamas Khalil al Hayya amesisitiza kuwa "mateka hawatoachiwa mpaka Israeli iache uvamizi dhidi ya Gaza."
                Maarufu
                Yanayojiri : Israel inataka kufurika mahandaki ya Gaza kwa  maji ya bahari

                Yanayojiri : Israel inataka kufurika mahandaki ya Gaza kwa  maji ya bahari

                Mashambulizi yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya Gaza iliyozingirwa - sasa katika siku yake ya 60 - yameua zaidi ya Wapalestina 15,899, ambao wengi wao ni wanawake na watoto, na kuwaacha zaidi ya watu 42,000 kujeruhiwa.
                Israel kuchunguza harakati za askari wake mpakani Gaza kabla ya shambulio la Hamas

                Israel kuchunguza harakati za askari wake mpakani Gaza kabla ya shambulio la Hamas

                Msemaji wa jeshi la Israel Daniel Hagari atangaza uchunguzi kuhusu kutumwa kwa wanajeshi wa kikomando kutoka mpaka wa Gaza hadi Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu kabla ya Oktoba 7.
                'Matusi, fujo': Familia za mateka zilikasirika baada ya kukutana na Netanyahu

                'Matusi, fujo': Familia za mateka zilikasirika baada ya kukutana na Netanyahu

                ''Kiongozi wa Hamas wa Gaza Yahya Sinwar ndiye aliyerejesha watu wetu, sio wao. Inanikasirisha kwamba wanasema kwamba waliamuru mambo. Hawakuwa wameamuru hatua moja," baba wa mateka katika Gaza iliyozingirwa anasema.
                Waigizaji waliidhinisha kandarasi ya miaka mitatu, na kumaliza msukosuko wa wafanyakazi wa Hollywood

                Waigizaji waliidhinisha kandarasi ya miaka mitatu, na kumaliza msukosuko wa wafanyakazi wa Hollywood

                Wanachama wa chama cha waigizaji wa SAG-AFTRA walipitisha mkataba wa miaka mitatu na studio kubwa siku ya Jumanne, rasmi wakimaliza mgogoro wa kazi wa Hollywood uliodumu miezi sita ambao ulisitisha uzalishaji wa filamu na tamthilia nchini
                Yanayojiri: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa atumia Kifungu cha 99 kuhusu vita vya Gaza

                Yanayojiri: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa atumia Kifungu cha 99 kuhusu vita vya Gaza

                Mkuu wa UN Antonio Guterres atumia Kifungu cha 99 kuhusu vita vya Gaza Kifungu cha 99 katika Mkataba wa Umoja wa Mataifa kinampa mamlaka ya kuitisha mkutano wa Baraza la Usalama kwa mada yoyote anayoiona kama tishio kwa amani na usalama wa kimataifa.
                Makala maarufu
                Balozi wa Marekani Kenya: Tengeza ajira kwanza kabla ya kuongeza ushuru

                Balozi wa Marekani Kenya: Tengeza ajira kwanza kabla ya kuongeza ushuru

                Rais wa Kenya William Ruto amefichua azma yake ya kuongeza ushuru hadi kufikia asilimia 22. Hatua ambayo inaonekana kuzua gumzo nchini humo huku baadhi ya wananchi wakisema kwamba hatua hiyo itaongeza ugumu wa maisha.
                Logo
                Hakimiliki © TRT Afrika 2025

                Shirika

                • Kuhusu TRT Afrika
                • Wasiliana Nasi

                Majukumu ya Kisheria

                • Sera ya Faragha
                • Sera ya Vidakuzi
                • Kanuni na Masharti
                • TRT AfrikaYoutube
                • TRT AfrikaTwitter
                • TRT AfrikaFacebook
                • TRT AfrikaInstagram
                • TRT AfrikaTikTok