Logo
    • Türkiye

      Türkiye

    • Afrika

      Afrika

    • Ulimwengu

      Ulimwengu

    Habari

    • Biashara

      • Michezo

        • Maoni

          • Maisha

            • Video

              • Uchambuzi

                  • English

                    English

                  • Français

                    Français

                  • Hausa

                    Hausa

                  Swahili


                • Ukurasa wa nyumbani

                Uelewa

                'Ufadhili wa USAID kwa Boko Haram' umezua hisia kali Nigeria

                'Ufadhili wa USAID kwa Boko Haram' umezua hisia kali Nigeria

                Taarifa ya Mbunge wa Marekani inayopendekeza kuwa USAID ilifadhili ghasia za Boko Haram nchini Nigeria imeibua wito wa kufanywa uchunguzi, mjadala mkali na mabishano ya kidiplomasia.
                Agizo la Trump: Kwa nini suala la ardhi ni muhimu Afrika Kusini?

                Agizo la Trump: Kwa nini suala la ardhi ni muhimu Afrika Kusini?

                Tishio la Donald Trump la kukata ufadhili wa Marekani kwa Afrika Kusini kwa kuishutumu kutunga sheria mpya ya kunyakua ardhi limezua hisia na huenda likawaunganisha Waafrika Kusini zaidi kuliko hata baada ya maridhiano ya ubaguzi wa rangi.
                Nigeria kwenye changamoto na pendekezo la kuunda majimbo mapya

                Nigeria kwenye changamoto na pendekezo la kuunda majimbo mapya

                Wakati wabunge wa Nigeria wakijadili kuongezwa kwa majimbo mapya 31 suali ni kwa nini mapendekezo mengi kama haya ya kuunda vitengo vya ziada vya nchi ndogo yalishindwa katika miaka 25 iliyopita.

                Makala yanayovuma

                Kwa nini ufadhili wa USAID kwa BBC ni zaidi ya onyo kali

                Kwa nini ufadhili wa USAID kwa BBC ni zaidi ya onyo kali

                Ufadhili wenye utata wa USAID wa BBC Media Action unaonyesha jinsi mitambo ya propaganda inayofadhiliwa na serikali ya Magharibi inavyofanya kazi na kufichua viwango viwili katika utangazaji wa kimataifa.
                Déborah: Mfugaji nyuki aliyefanikiwa Goma licha ya mzozo wa DRC

                Déborah: Mfugaji nyuki aliyefanikiwa Goma licha ya mzozo wa DRC

                Mwanamke huyu mjasiriamali yuko katika mji uliokumbwa na vita wa Goma na anakabiliana na dhana potofu kuhusu ufugaji wa nyuki na kutengeneza bidhaa ambayo inasaidia pakubwa jamii.
                Kwa nini Uganda inatenga viti 10 bungeni kwa ajili ya jeshi

                Kwa nini Uganda inatenga viti 10 bungeni kwa ajili ya jeshi

                Mfumo wa bunge la Uganda ni wa kipekee kwa utoaji wake ulioidhinishwa kikatiba wa kutenga viti 10 kwa wawakilishi wa majeshi, mfumo ulioanzishwa mwaka 1995 ili kuunganisha mitazamo ya kijeshi katika utawala wa kiraia.
                Maarufu
                Faruq: Kutoka maisha ya uhalifu hadi kuwa kocha wa mabingwa wa mchezo wa upanga wa Kenya

                Faruq: Kutoka maisha ya uhalifu hadi kuwa kocha wa mabingwa wa mchezo wa upanga wa Kenya

                Faruq Mburu Wanyoike alikuwa na umri wa miaka tisa alipoingizwa kwenye uhalifu kabla ya kupata changamoto mpya maishani mwake, na kubadilisha maisha yake na kufanya mchezo wa upanga kuwa silaha yake ya mabadiliko
                Je, Liberia ni mfano mzuri wa demokrasia kwa Afrika Magharibi?

                Je, Liberia ni mfano mzuri wa demokrasia kwa Afrika Magharibi?

                Rais wa Liberia George Weah amepongezwa kwa kukubali kushindwa na mpinzani wake wa Urais. Kampeni za uchaguzi nchini Liberia zilipamba moto
                Marufuku ya upasuaji mjini Khartoum inahatarisha maisha ya raia

                Marufuku ya upasuaji mjini Khartoum inahatarisha maisha ya raia

                Hospitali zimekosa vifaa vya upasuaji kusini mwa Khartoum kufuatia marufuku iliyoanza Septemba. MSF inasema hii inaweza kusababisha vifo vya mamia ya watu katika wiki zijazo
                Urithi wa misitu wa jamii ya Banen

                Urithi wa misitu wa jamii ya Banen

                Jumuiya ya Banen ya Cameroon imekuwa ikilazimika kusubiri kupewa hatimiliki ya Ardhi yao ya miaka 60 na kurudi nyumbani baada ya kutolewa kwa nguvu kutokana na utitiri wa vita na ukandamizaji wa kikoloni
                Kunywa maji kupindukia ni hatari

                Kunywa maji kupindukia ni hatari

                Jinsi unywaji wa Maji kupita kiasi unaweza kuwa mbaya kama upungufu wa maji mwilini
                Makala maarufu
                Balozi wa Marekani Kenya: Tengeza ajira kwanza kabla ya kuongeza ushuru

                Balozi wa Marekani Kenya: Tengeza ajira kwanza kabla ya kuongeza ushuru

                Rais wa Kenya William Ruto amefichua azma yake ya kuongeza ushuru hadi kufikia asilimia 22. Hatua ambayo inaonekana kuzua gumzo nchini humo huku baadhi ya wananchi wakisema kwamba hatua hiyo itaongeza ugumu wa maisha.
                Logo
                Hakimiliki © TRT Afrika 2025

                Shirika

                • Kuhusu TRT Afrika
                • Wasiliana Nasi

                Majukumu ya Kisheria

                • Sera ya Faragha
                • Sera ya Vidakuzi
                • Kanuni na Masharti
                • TRT AfrikaYoutube
                • TRT AfrikaTwitter
                • TRT AfrikaFacebook
                • TRT AfrikaInstagram
                • TRT AfrikaTikTok