Sera ya Vidakuzi

Sera ya Vidakuzi

Taarifa kuhusu matumizi yetu ya vidakuzi:

Tovuti yetu (www.trtafrika.com) hutumia vidakuzi kukutofautisha na watumiaji wengine wa tovuti yetu. Hii hutusaidia kukupa matumizi mazuri unapojifurahisha na huduma za tovuti yetu na pia huturuhusu kuboresha tovuti yetu. Kwa kuendelea kutembelea tovuti, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi.

Kidakuzi ni faili ndogo ya herufi na nambari ambazo tunahifadhi kwenye kivinjari chako au diski kuu ya kompyuta yako, ikiwa unakubali hili. Vidakuzi vina habari ambayo huhamishiwa kwenye kompyuta yako.

Vidakuzi hutumiwa sana kufanya tovuti zifanye kazi vizuri zaidi, na kufanya kazi kwa ufanisi zaidi, na pia kutoa taarifa kwa wamiliki wa tovuti (na wahusika wengine wowote wanaofanya nao kazi) na kusimamia vipengele vya biashara zao. Bila vidakuzi fulani, baadhi ya maeneo na utendaji wa tovuti hazifanyi kazi.

Aina za vidakuzi tunazotumia kwenye tovuti yetu

Vidakuzi vya lazima: Hivi ni vidakuzi vinavyohitajika kwa uendeshaji wa tovuti yetu ili kukuwezesha kuzunguka tovuti yetu na kutumia vipengele vyake. Bila vidakuzi hivi tovuti yetu haifanyi kazi ipasavyo.

Vidakuzi vya utendaji: Vidakuzi hivi huturuhusu kutambua na kuhesabu idadi ya wageni na kuona jinsi wageni huzunguka tovuti yetu wanapoitumia. Hii hutusaidia kuboresha jinsi tovuti yetu inavyofanya kazi

Vidakuzi vya utendakazi: Hizi hutumika kukutambua unaporudi kwenye tovuti yetu na kutuwezesha kukumbuka chaguo unazofanya unapotumia tovuti yetu. Hii hutuwezesha kubinafsisha maudhui yetu kwa ajili yako.

Vidakuzi kwa ajili ya matangazo: Vidakuzi vinavyotumika kukusanya taarifa kuhusu ziara yako kwenye tovuti yetu, maudhui ambayo umetazama, links ulivzofuata na taarifa kuhusu ukurasa unayotembelea, kifaa na anwani yako ya IP.

Kuzuia au kufuta vidukuzi

Unazuia vidakuzi kwa kuwezesha setting kwenye tovuti unaokuruhusu kukataa mipangilio ya vidakuzi vyote au baadhi. Unaweza pia kufuta vidakuzi kwa kuchagua chaguo sahihi katika mipangilio ya tovuti yako.

Unaweza kudhibiti matumizi ya vidakuzi, ikiwa ni pamoja na vidakuzi vya matangazo na kuzima kugawa kwa taarifa na washirika kwa madhumuni ya matangazo kwa kufuata maagizo katika tovuti ya vidakuzi husika.

Unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu vidakuzi binafsi tunazotumia kwenye tovuti yetu na madhumuni ya kuzitumia kwenye jedwali hapa chini:

Sera hii ya vidakuzi inaeleza kuhusu aina ya vidakuzi tunavyotumia katika www.trtafrika.com

ambayo ni tovuti ya Türkiye Radyo Televizyon Kurumu (”TRT”).

Vidakuzi ni nini?

Vidakuzi ni faili za maandishi zinazotumiwa kusaidia kutambua watumiaji wanapozuru tovuti tena kwa lengo la kufanya tovuti husika imfae mtumiaji zaidi. Faili hizi husaidia kurahisisha shughuli ya kutembelea tovuti na zinasomeka tu na seva ya wavuti na wala sio kirusi. Vidakuzi husaidia kuokoa muda ikiwa ni pamoja na kutambua kivinjari, programu au kifaa pikseli na nafasi ya hifadhi. Aidha kwa lugha nyepesi vidakuzni faili zinazorekodiwa wakati mtumiaji anapotembelea tovuti na huduma zingine za mtandao. Madhumuni yake ni kukusanya maelezo kuhusu kivinjari kwa mtumiaji na kupitisha maelezo haya ili kusaidia kutambua huduma na matangazo yatakayomfaa mtumiaji.

Madhumuni ya kutumia vidakuzi

Vidakuzi vya lazima, vidakuzi vya kiufundi, vidakuzi vya uthibitishaji, vidakuzi vya matangazo, vidakuzi vya ubinafsishaji pamoja na vidakuzi vya uchambuzi vinaweza vikatumika kwenye majukwaa ya kidigitali kuambatana na lengo la matumizi. Hali kadhalika vidakuzi vya kudumu vinaweza vikatumika kuambatana na muda mtumiaji atakaotumia sambamba na lengo la matumizi. Vidakuzi vyote kwenye tovuti yetu ni vya lazima kwa ajili ya ufanisi wa tovuti.

Vidakuzi vya lazima:
Matumizi ya baadhi ya vidakuzi ni lazima kwa ajili ya ufanisi wa tovuti. Vidakuzi hivi hukusanywa kwa ajili ya malengo yafuatayo:

  • Kuchambua utembeleaji wa tovuti husika na kufanikisha utendaji wa www.trtafrika.com na majukwaa mengine ya kidijitali ya TRT.
  • Kuchambua maombi ya watumiaji na wanaozuru tovuti kwa lengo la kuhakikisha usanidi wa mpangilio pamoja kumridhisha aliyetuma ombi/maombi.
  • Kuongeza ufanisi wa tovuti pamoja na jukwaa la kidijitali kitaifa na kimataifa.
  • Kuwezesha kufanikiwa kwa mtumiaji kuambatana na lengo lake kuu anapozuru tovuti.

Malengo makuu kuambatana na vidakuzi yamewekwa wazi kwenye jedwali lifuatalo:

Vidakuzi vinavyotumika kwenye tovuti yetu pamoja na majukwaa mengine ya kidijitali:


Google Adsense

Kutangaza

https://policies.google.com/privacy?hl=en

kubofya mara mbili (DoubleClick)

Kutangaza

https://policies.google.com/privacy?hl=en

Google Adwords Conversion

Kutangaza

https://policies.google.com/privacy?hl=en

Kutangaza kwenye twitter

Kutangaza

https://twitter.com/privacy?lang=en

Google Dynamic Remarketing

Kutangaza

https://policies.google.com/privacy?hl=en

Google Tag Manager

Muhimu (Essential)

https://policies.google.com/privacy?hl=en

Google Analytics

Uchambuzi wa Tovuti na app kwenye simu ya kiganjani

(Website and mobile app analytics)

https://policies.google.com/privacy?hl=en

Hotjar

Kunakiliwa kwa matumizi ya tovuti na huduma ya ‘playback’

(Website usage recording and playback service)

https://www.hotjar.com/privacy

GA Audiences

Uchambuzi wa tovuti

(Site Analytics)

https://policies.google.com/privacy?hl=en

Firebase

Uchanganuzi wa simu

(Mobile Analytics)

https://firebase.google.com/terms/?hl=en&authuser=3

Facebook Connect

Mitandao ya kijamii

(Social Media)

https://www.facebook.com/about/privacy/

AddThis

Huduma ya usambazaji

(Social Sharing Service)

https://www.addthis.com/blog/tag/gdpr/

Fabric

Tathmini ya app ya Android na ripoti ya kugoma kwa tovuti.

(Android test app distribution and crash reporting)

https://docs.fabric.io/android/fabric/data-privacy.html

Facebook Ads SDK

Tathmini ya kulenga na majibu yake kupitia kampeni za upakuzi wa App

(Targeting and conversion tracking for app install campaigns)

https://www.facebook.com/business/GDPR


Msingi wa kisheria juu ya kukusanya vidakuzi.


Vidakuzi vinakusanywa kuambatana na masharti yafuatayo ya kukusanya data kama yalivyoainishwa kwenye kipengele cha 5 cha sheria za kulinda taarifa/data binafsi nambari 6698: “ Ukusanyaji wa taarifa/data ni kigezo muhimu kuambatana na matakwa halisi ya mratibu wa data mradi tu haki na uhuru wa mhusika umetiliwa maanani.”

Matumizi ya vidakuzi.
Watumiaji na wanaotazama wanayo nafasi ya kubinafsisha wakitakacho kwa kubadilisha kidakuzi husika katika majukwaa ya kidijitali ya TRT. Hatahivyo inapokuja kwenye vidakuzi vya lazima mtumiaji hatoweza kutekeleza hilo. Ikitokea mtu amelemaza kidakuzi fulani hilo huenda nalo likaathiri kwa namna moja ama nyingine matumizi yake kwenye jukwaa husika.

Nawezaje kuthibiti matumizi ya vidakuzi?

Unayo fursa ya kujichagulia utakayo kwa mpangilio ila kwa kuambatana na vidakuzi kwenye mipangilio ‘settings’ ya kijivinjari unachotumia. Tembelea

Adobe Analytics

http://www.adobe.com/uk/privacy/opt-out.html

AOL

https://help.aol.com/articles/restore-security-settings-and-enable-cookie-settings-on-browser

Google Adwords

https://support.google.com/ads/answer/2662922?hl=en

Google Analytics

https://tools.google.com/dlpage/gaoptout

Google Chrome

http://www.google.com/support/chrome/bin/answer.py?hl=en&answer=95647

Internet Explorer

https://support.microsoft.com/en-us/help/17442/windows-internet-explorer-delete-manage-cookies

Mozilla Firefox

http://support.mozilla.com/en-US/kb/Cookies

Opera

http://www.opera.com/browser/tutorials/security/privacy/

Safari

https://support.apple.com/kb/ph19214?locale=tr_TR

Yandex

https://browser.yandex.com/help/personal-data-protection/cookies.html