Logo
    • Türkiye

      Türkiye

    • Afrika

      Afrika

    • Ulimwengu

      Ulimwengu

    Habari

    • Biashara

      • Michezo

        • Maoni

          • Maisha

            • Video

              • Uchambuzi

                  • English

                    English

                  • Français

                    Français

                  • Hausa

                    Hausa

                  Swahili

                • Ukurasa wa nyumbani

                Habari

                Maelekezo mapya Kenya  baada ya hakimu kupigwa risasi
                Afrika

                Maelekezo mapya Kenya  baada ya hakimu kupigwa risasi

                Vurumai hiyo imetokea Juni 13, 2024, ambapo mmoja wa maafisa wa polisi mwandamizi ambae mke wake alifutiwa dhamana baada ya mshtakiwa kukiuka masharti ya dhamana alimpiga risasi hakimu.
                Palestina yaitaka dunia kukomesha 'wazimu' wa Israel Gaza
                Ulimwengu

                Palestina yaitaka dunia kukomesha 'wazimu' wa Israel Gaza

                Rais wa Palestina Mahmoud Abbas amelitaka Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kukomesha vita vya Israeli huko Gaza, akisema Israeli ilikuwa karibu kabisa kuharibu Gaza na haikufaa tena kwa maisha.
                Balozi wa Marekani Kenya: Tengeza ajira kwanza kabla ya kuongeza ushuru
                Afrika

                Balozi wa Marekani Kenya: Tengeza ajira kwanza kabla ya kuongeza ushuru

                Rais wa Kenya William Ruto amefichua azma yake ya kuongeza ushuru hadi kufikia asilimia 22. Hatua ambayo inaonekana kuzua gumzo nchini humo huku baadhi ya wananchi wakisema kwamba hatua hiyo itaongeza ugumu wa maisha.

                Makala yanayovuma

                Bobi Wine kuwania tuzo za Oscars
                Afrika

                Bobi Wine kuwania tuzo za Oscars

                Filamu hiyo ya Bobi Wine ni kati ya kazi 15 zilizopita hatua ya mchujo kati ya filamu 167 zilizowasilishwa.
                Watoto wapotea baada ya boti kuzama Tanzania
                Afrika

                Watoto wapotea baada ya boti kuzama Tanzania

                Mwili wa mtoto wa kike ambaye ni kati ya watu 13 waliozama majini baada ya mitumbwi miwili kuzama Ziwa Victoria katika pwani ya Kijiji cha Mchigondo Wilaya ya Bunda, Tanzania, umeopolewa.
                Wanajeshi wa Niger "wamemuondoa" rais madarakani
                Afrika

                Wanajeshi wa Niger "wamemuondoa" rais madarakani

                Rais wa Niger Mohamed Bazoum "ameondolewa madarakani", kulingana na wanajeshi wa nchi hiyo.
                Maarufu
                Mashambulizi ya anga Nigeria yawaua 'makamanda wakuu' wa kundi la kigaidi

                Mashambulizi ya anga Nigeria yawaua 'makamanda wakuu' wa kundi la kigaidi

                Takriban wanamgambo 30 waliuawa wakiwemo makamanda wakuu wa kundi hilo Ali Dawud, Bakura Fallujah na Mallam Ari, jeshi lilisema.
                Spika wa zamani wa bunge la Afrika Kusini akamatwa kwa tuhuma za ufisadi

                Spika wa zamani wa bunge la Afrika Kusini akamatwa kwa tuhuma za ufisadi

                Mapisa-Nqakula, ni mwanasiasa mwingine ndani ya ANC kukumbwa na kashfa za ufisadi.
                Israeli yaharibu viinitete 5000 vya IVF mjini Gaza

                Israeli yaharibu viinitete 5000 vya IVF mjini Gaza

                Shambulio la Israel katika kituo cha Al Basma IVF mjini Gaza, mwezi Disemba, umeua matumaini ya mwisho kwa mamia ya wanandoa wa Kipalestina wanaokabiliwa na utasa
                DRC: Jeshi la Kongo lataka ushirikiano wa raia ili kuwadhibiti wanamgambo

                DRC: Jeshi la Kongo lataka ushirikiano wa raia ili kuwadhibiti wanamgambo

                Jeshi la Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo lataka ushirikiano na wananchi siku tatu baada ya shambulizi lililopelekea mauaji ya watu 23
                Raia wa Nigeria waanza mfungo wa Ramadhani huku kukiwa na uhaba wa noti za benki

                Raia wa Nigeria waanza mfungo wa Ramadhani huku kukiwa na uhaba wa noti za benki

                Mwezi Oktoba mwaka jana, Benki kuu ya Nigeria ilianzisha sera ya kubadilisha madhehebu fulani ya naira na noti mpya za sarafu zilizoundwa.
                Makala maarufu
                Balozi wa Marekani Kenya: Tengeza ajira kwanza kabla ya kuongeza ushuru
                Afrika

                Balozi wa Marekani Kenya: Tengeza ajira kwanza kabla ya kuongeza ushuru

                Rais wa Kenya William Ruto amefichua azma yake ya kuongeza ushuru hadi kufikia asilimia 22. Hatua ambayo inaonekana kuzua gumzo nchini humo huku baadhi ya wananchi wakisema kwamba hatua hiyo itaongeza ugumu wa maisha.
                Logo
                Hakimiliki © TRT Afrika 2025

                Shirika

                • Kuhusu TRT Afrika
                • Wasiliana Nasi

                Majukumu ya Kisheria

                • Sera ya Faragha
                • Sera ya Vidakuzi
                • Kanuni na Masharti
                • TRT AfrikaYoutube
                • TRT AfrikaTwitter
                • TRT AfrikaFacebook
                • TRT AfrikaInstagram
                • TRT AfrikaTikTok