Logo
    • Türkiye

      Türkiye

    • Afrika

      Afrika

    • Ulimwengu

      Ulimwengu

    Habari

    • Biashara

      • Michezo

        • Maoni

          • Maisha

            • Video

              • Uchambuzi

                  • English

                    English

                  • Français

                    Français

                  • Hausa

                    Hausa

                  Swahili


                Video kwenye mitandao ya kijamii

                Uchaguzi wa Mitaa wa Uturuki 2024: Je, mfumo wa uchaguzi hufanya kazi vipi? Uchaguzi wa Mitaa wa Uturuki 2024: Je, mfumo wa uchaguzi hufanya kazi vipi?

                Uchaguzi wa Mitaa wa Uturuki 2024: Je, mfumo wa uchaguzi hufanya kazi vipi?

                Mnamo Machi 31, mameya, wanachama wa baraza la manispaa na maafisa wa eneo (mukhtars) watachaguliwa na wapiga kura kote Uturuki. Hivi ndivyo mfumo wa uchaguzi wa mitaa unavyofanya kazi nchini
                Changamoto za watu wenye ulemavu wa ngozi Gambia Changamoto za watu wenye ulemavu wa ngozi Gambia

                Changamoto za watu wenye ulemavu wa ngozi Gambia

                Ulemavu wa ngozi ni hali ya kimaumbile, lakini nchini Gambia, kama nchi nyingine nyingi za Afrika, wengi waliozaliwa nao wanabaguliwa. Sasa juhudi zinafanywa kusahihisha dhana potofu kuhusu hali hii isiyo na madhara, ya kurithi.
                Simba wanapendwa sana Uturuki Simba wanapendwa sana Uturuki

                Simba wanapendwa sana Uturuki

                Raia wa Uturuki wanasema kufurahishwa na ziara ya Simba nchini humo. Waturuki wanasema kuwa ujio wa Simba Uturuki umechangia pakubwa uuzaji wa mpira wa Tanzania na kuimarisha uhusiano kati ya wananchi na Tanzania na Uturuki kupitia msemaji wa Waturuki waswahili Fatih Ilham.
                Maandamano yachacha Kenya Maandamano yachacha Kenya

                Maandamano yachacha Kenya

                Upinzani nchini Kenya umetangaza kuandaa maandamano kila wiki kutoka wiki ijayo huku nchi ikikadria hasara iliyotokana na maandamano jumatano. Kulikuwa na uharibifu wa mali na ukatishaji wa shughuli za kawaida jijini Nairobi. Watu 6 waliripotiwa kufariki.
                Kundi la Wagner ni nini? Kundi la Wagner ni nini?

                Kundi la Wagner ni nini?

                Kwa muda mrefu, Yevgeny Prigozhin amekuwa akikana uhusiano wake na Kikundi cha Wanajeshi cha Wagner na hata kuwashtaki waandishi wa habari ambao wamedai kuwa yeye ndiye mwanzilishi wa kundi hilo. Kundi la Wagner lilionekana kwa mara ya kwanza mashariki mwa Ukraine mwaka 2014, ambapo walitoa msaada kwa watu wanaotaka kujitenga wanaoungwa mkono na Urusi na kuwasaidia kuchukua udhibiti wa eneo la Ukraine, na kuanzisha jamhuri mbili zilizojitenga katika mikoa ya Donetsk na Luhansk. Tangu mwaka 2014, kundi la Wagner limehusika katika migogoro mbalimbali ulimwenguni, hususan nchini Syria na katika nchi kadhaa za Afrika.
                Hewa ukaa Hewa ukaa

                Hewa ukaa

                Hewa ukaa
                Mswada wa fedha Mswada wa fedha

                Mswada wa fedha

                Mswada wa fedha Kenya bado ni kizungumkuti. Mjadala wa wabunge ulikuwa mkali sana huku wabunge wanaopinga wakidai mapendekezo yake yata ongeza gharama ya maisha kwa Wakenya. Baada ya ushirikishwaji wa umma serikali imefanya marekebisho kadhaa kwa mapendekezo yao ya awali kwa nia ya kulishawishi baraza hilo kuunga mkono mswada huo.
                Toka jalalani mpaka jikoni Toka jalalani mpaka jikoni

                Toka jalalani mpaka jikoni

                Huu ni mkaa unaotokana na takataka uliyokusanywa mtaani na hutumika katika kuingiza kipato kwa baadhi ya wananchi
                Logo
                Hakimiliki © TRT Afrika 2025

                Shirika

                • Kuhusu TRT Afrika
                • Wasiliana Nasi

                Majukumu ya Kisheria

                • Sera ya Faragha
                • Sera ya Vidakuzi
                • Kanuni na Masharti
                • TRT AfrikaYoutube
                • TRT AfrikaTwitter
                • TRT AfrikaFacebook
                • TRT AfrikaInstagram
                • TRT AfrikaTikTok