Logo
    • Türkiye

      Türkiye

    • Afrika

      Afrika

    • Ulimwengu

      Ulimwengu

    Habari

    • Biashara

      • Michezo

        • Maoni

          • Maisha

            • Video

              • Uchambuzi

                  • English

                    English

                  • Français

                    Français

                  • Hausa

                    Hausa

                  Swahili


                • Ukurasa wa nyumbani

                Michezo

                Galatasaray yamshtumu Mourinho kwa 'matamshi ya kibaguzi'

                Galatasaray yamshtumu Mourinho kwa 'matamshi ya kibaguzi'

                Galatasaray wametoa taarifa kuhusu matamshi ya meneja wa Fenerbahce, Jose Mourinho, baada ya mechi yao ya Ligi Kuu ya Uturuki, Super Lig siku ya Jumatatu.
                Ligi ya Mabingwa Ulaya: Hatua ya muondoano

                Ligi ya Mabingwa Ulaya: Hatua ya muondoano

                Klabu nne zitakazokamilisha timu za raundi ya 16 katika ligi ya mabingwa Ulaya zitabainika baadaye Jumatano usiku. Hii itakuwa baada ya kukamilika kwa mechi za mikondo ya pili.
                Kiplimo wa Uganda avunja rekodi ya dunia ya nusu marathon

                Kiplimo wa Uganda avunja rekodi ya dunia ya nusu marathon

                Wakenya Geoffrey Kamworor na Samwel Mailu walisukumana bega kwa bega sekunde 19 nyum katik anafasi za pili na tatu, huku bingwa wa Uropa wa Italia Yemaneberhan Crippa akiwa mpweke kwa dakika 14:02.

                Makala yanayovuma

                Dabi ya mwisho kuchezwa Goodison Park yamalizika kwa vurugu

                Dabi ya mwisho kuchezwa Goodison Park yamalizika kwa vurugu

                Liverpool inaongoza katika Ligi Kuu ya England ikiwa na pointi 57.
                Jamhuri ya Congo inataka FIFA kuiondolea vikwazo kucheza soka

                Jamhuri ya Congo inataka FIFA kuiondolea vikwazo kucheza soka

                FIFA  imesema kuwa adhabu hiyo itaondolewa iwapo masharti kadhaa yatatimizwa, ikiwa ni pamoja na kurejeshwa kwa udhibiti kamili wa makao makuu ya shirikisho la soka FECOFOOT na maeneo mengine.
                Alvaro Morata ajiunga na Galatasaray

                Alvaro Morata ajiunga na Galatasaray

                Kwa mujibu wa taarifa Galatasaray imelipa €6 milioni ($6.14 milioni) kwa uhamisho wa Morata kutoka AC Milan.
                Maarufu
                Ronaldinho: Naamini ipo siku Mbappe atashinda Ballon D'or

                Ronaldinho: Naamini ipo siku Mbappe atashinda Ballon D'or

                Kylian Mbappe ndiye anaongoza jedwali la wafungaji bora kwenye ligi kuu ya soka nchini Ufaransa Ligue 1, na magoli 14 huku akiwa na magoli matatu Champions League
                Mkenya Kelvin Kiptum afuzu 5 bora, tuzo ya wanariadha bora wa kiume duniani 2023

                Mkenya Kelvin Kiptum afuzu 5 bora, tuzo ya wanariadha bora wa kiume duniani 2023

                Wanariadha bora wa mwaka Duniani watatangazwa mnamo tarehe 11 Desemba kama sehemu ya Tuzo za wanariadha Duniani 2023
                Uhasama wa soka Kenya na Tanzania warejea, kombe la CECAFA U-18

                Uhasama wa soka Kenya na Tanzania warejea, kombe la CECAFA U-18

                Mshindi wa mechi ya leo atafuzu moja kwa moja hadi fainali iliyoratibiwa kuchezwa tarehe 8 Disemba mjini Kisumu, magharibi mwa Kenya kuhitimisha kombe lililovutia jumla ya timu nane.
                Bellingham, bingwa Golden Boy

                Bellingham, bingwa Golden Boy

                Kiungo wa England na Real Madrid, ametunukiwa tuzo ya Golden Boy 2023 na Golden Boy Web 2023, inayopewa mwanasoka bora chini ya umri wa miaka 21 anayecheza kilabu cha Ulaya.
                Twiga Stars watua WAFCON 2024

                Twiga Stars watua WAFCON 2024

                Timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, imefuzu Kombe la Mataifa bora Afrika kwa Wanawake, Morocco 2024.
                Makala maarufu
                Balozi wa Marekani Kenya: Tengeza ajira kwanza kabla ya kuongeza ushuru

                Balozi wa Marekani Kenya: Tengeza ajira kwanza kabla ya kuongeza ushuru

                Rais wa Kenya William Ruto amefichua azma yake ya kuongeza ushuru hadi kufikia asilimia 22. Hatua ambayo inaonekana kuzua gumzo nchini humo huku baadhi ya wananchi wakisema kwamba hatua hiyo itaongeza ugumu wa maisha.
                Logo
                Hakimiliki © TRT Afrika 2025

                Shirika

                • Kuhusu TRT Afrika
                • Wasiliana Nasi

                Majukumu ya Kisheria

                • Sera ya Faragha
                • Sera ya Vidakuzi
                • Kanuni na Masharti
                • TRT AfrikaYoutube
                • TRT AfrikaTwitter
                • TRT AfrikaFacebook
                • TRT AfrikaInstagram
                • TRT AfrikaTikTok