Logo
    • Türkiye

      Türkiye

    • Afrika

      Afrika

    • Ulimwengu

      Ulimwengu

    Habari

    • Biashara

      • Michezo

        • Maoni

          • Maisha

            • Video

              • Uchambuzi

                  • English

                    English

                  • Français

                    Français

                  • Hausa

                    Hausa

                  Swahili


                • Ukurasa wa nyumbani

                Biashara

                Rwanda kuanza kutoza kodi huduma za kidijiti

                Rwanda kuanza kutoza kodi huduma za kidijiti

                Inaaminika kuwa, makampuni makubwa, yanayohusisha manunuzi ya kimtandao hutengeneza fedha nyingi kutokana na wigo wa wateja wake ambao umeenea sehemu nyingi ulimwenguni.
                Rwanda kuongeza uzalishaji wa nyama kwa asilimia 20 ifikapo 2029

                Rwanda kuongeza uzalishaji wa nyama kwa asilimia 20 ifikapo 2029

                Takwimu hiyo pia inaonesha ongezeko la uzalishaji wa bidhaa kwa asilimia 20 ndani ya miaka mitano.
                Shirika la Ndege la Uturuki kuongeza safari zake Tanzania Juni 2025

                Shirika la Ndege la Uturuki kuongeza safari zake Tanzania Juni 2025

                Hatua hii, inadhihirisha ni jinsi gani mataifa mengine yamekuwa na imani na Tanzania sehemu sahihi ya kusafiri lakini pia kuunganisha safari

                Makala yanayovuma

                Tanzania: Noti mpya za fedha kuingia kwenye mzunguko Februari 2025

                Tanzania: Noti mpya za fedha kuingia kwenye mzunguko Februari 2025

                Kulingana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Emanuel Tutuba, noti mpya za Tanzania zitaingia kwenye mzunguko wa fedha kuanzia tarehe Februari 1, 2025.
                Tanzania: Matukio ya ulaghai kwa njia ya simu yapungua

                Tanzania: Matukio ya ulaghai kwa njia ya simu yapungua

                Kulingana na ripoti ya robo mwaka iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) hivi karibuni, majaribio ya ulaghai kwa ujumla yamepungua kwa wastani wa asilimia 19.
                Bandari ya Mombasa yaongeza uwezo wa kuhudumia mizigo

                Bandari ya Mombasa yaongeza uwezo wa kuhudumia mizigo

                Mbali na Uganda, nchi zingine zinazotumia bandari hiyo ni pamoja na Sudan Kusini, DRC, Rwanda na Tanzania.
                Maarufu
                Nchi 10 zenye matajiri wengi Afrika

                Nchi 10 zenye matajiri wengi Afrika

                Zaidi ya asilimia 90 ya mabilionea Afrika wanapatikana mataifa ya Afrika Kusini, Misri, Nigeria, Kenya, na Morocco huku kwa pamoja wakichangia asilimia 56 ya watu wenye thamani kubwa ya mali
                Spotify kupunguza asilimia 17 ya wafanyakazi

                Spotify kupunguza asilimia 17 ya wafanyakazi

                Mnamo mwezi Oktoba mwaka huu, Spotify ilichapisha faida adimu ya uendeshaji ya robo mwaka ya euro milioni 32, ikilinganishwa na hasara ya milioni 228 kwa kipindi kama hicho mwaka mmoja uliopita.
                Bei ya mafuta nchini Kenya yashuka kabla ya sikukuu

                Bei ya mafuta nchini Kenya yashuka kabla ya sikukuu

                Bei ya mafuta nchini Kenya imepungua katika mapitio ya hivi karibuni ya mdhibiti wa nishati nchini EPRA
                Zara waondoa matangazo yenye utata baada ya mgomo kuhusu Gaza

                Zara waondoa matangazo yenye utata baada ya mgomo kuhusu Gaza

                Kampeni hiyo ilizua mzozo mkali mitandaoni ambapo wengi walisema ilikuwa ikifanya mzaha mzozo wa Gaza ambapo Israel imekuwa ikivamia tangu Oktoba 7
                AfDB imeidhinisha mkopo wa $696m kwa Tanzania-Burundi SGR

                AfDB imeidhinisha mkopo wa $696m kwa Tanzania-Burundi SGR

                Benki ya Maendeleo ya Afrika imeidhinisha mkopo wa dola milioni 696.4 kwa ajili ya ujenzi wa awamu ya pili ya reli ya Tanzania-Burundi standard gauge.
                Makala maarufu
                Balozi wa Marekani Kenya: Tengeza ajira kwanza kabla ya kuongeza ushuru

                Balozi wa Marekani Kenya: Tengeza ajira kwanza kabla ya kuongeza ushuru

                Rais wa Kenya William Ruto amefichua azma yake ya kuongeza ushuru hadi kufikia asilimia 22. Hatua ambayo inaonekana kuzua gumzo nchini humo huku baadhi ya wananchi wakisema kwamba hatua hiyo itaongeza ugumu wa maisha.
                Logo
                Hakimiliki © TRT Afrika 2025

                Shirika

                • Kuhusu TRT Afrika
                • Wasiliana Nasi

                Majukumu ya Kisheria

                • Sera ya Faragha
                • Sera ya Vidakuzi
                • Kanuni na Masharti
                • TRT AfrikaYoutube
                • TRT AfrikaTwitter
                • TRT AfrikaFacebook
                • TRT AfrikaInstagram
                • TRT AfrikaTikTok