- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Serikali Ya Kenya
Matokeo ya 12 yanayohusiana na Serikali Ya Kenya yanaonyeshwa
Afrika
Waziri Mkuu: Kenya yapendekeza kurudisha cheo hicho katika ngazi za utawala
Raila Odinga ndiye alikuwa waziri mkuu wa mwisho wa Kenya alipohudumu kati ya 2008-2013 baada ya kusaini makubaliano ya kugawana madaraka na aliyekuwa rais Mwai Kibaki kufuatia machafuko ya kisiasa kutokana na uchaguzi wa 2007.Afrika
Kenya kusitisha makubaliano na madaktari wa Cuba: Waziri wa Afya
Serikali ya Kenya imetangaza rasmi kuwa haitaongeza muda wa makubaliano kati yake na madaktari wa Cuba ambao wamekuwa nchini Kenya. Mwaka 2017 serikali za nchi hizo mbili zilipoafikiana madaktari 100 wa Cuba kutoa huduma katika hospitali za Kenya.
Maarufu
Makala maarufu