Afrika
Raia wa Marekani akamatwa Kenya kwa ulaghai wa dhahabu
Antonucci Sergio Patrick alifikishwa katika Mahakama ya Milimani akikabiliwa na shtaka la Kula njama ya kutenda kosa na kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu, kufuatia kukamatwa kwake Disemba 15, 2024 baada ya kuingia nchini kutoka Dubai.Afrika
Mahakama nchini Kenya yafuta marufuku ya kuvuna makadamia
Oktoba 2023 Wizara ya Kilimo nchini Kenya ilitoa agizo la kuwepo kwa marufuku ya uuzaji nje wa parachichi na njugu za makadamia, lakini baadhi walilalamika kuwa karanga hizo zilikuwa tayari zimekomaa na zisingeweza kusubiri kuvunwa mwakani.
Maarufu
Makala maarufu