Michezo
Kombe la Dunia 2026: Matokeo na ratiba ya mechi za kufuzu Afrika
Mbio za kuwania tiketi ya Kombe la Dunia 2026 zinaendelea leo huku timu zikipiga mechi zao za pili za kufuzu ili kujipa moja kati ya nafasi tisa zilizotengewa Bara la Afrika kwenye kombe hilo litakalochezwa Marekani, Canada na Mexico 2026.Michezo
Wakala bandia alivyomhadaa staa wa Soka wa Kenya hadi Malaysia
Mwanasoka wa Kenya Davis alikwama Malaysia baada ya wakala bandia kumtapeli na kumhepa alipotua nchini humo licha ya kumuahidi kumsajili na klabu ya juu nchini Malaysia ili kutimiza ndoto za kushiriki ligi ya juu ya soka ya Malaysia.
Maarufu
Makala maarufu