Afrika
Jinsi wanyamapori wanaofuatiliwa barani Afrika walivyopungua kwa 76% katika miaka 50
Ripoti ya 2024 ya ''Living Planet'' ya Shirika la Kimataifa la Hifadhi ya Wanyamapori (WWF) inafichua 'mfumo ulio hatarini' huku Afrika ikikabiliwa na hatua hatari zisizoweza kurekebishwa kutokana na upotevu wa asili na mabadiliko ya hali ya hewa.Afrika
Uwindaji wa wanyamapori: Kwa nini hatua ya Namibia-Zimbabwe si ya uhakika?
Uamuzi wa Namibia na Zimbabwe wa kuwinda wanyamapori ili kulisha familia zilizokumbwa na hali mbaya ya ukame Kusini mwa Afrika katika miongo kadhaa umesababisha malalamiko miongoni mwa wahifadhi, wanahofia kuwa hatua hiyo inaweza kuwa haina tija.Afrika
Wanyama wanaopendwa na wageni: Maumivu ya nyoka na kasuku katika soko la dunia
Mahitaji ya wanyamapori walio hatarini kama vile kasuku wa Kiafrika wa kijivu na chatu kati ya wakusanyaji wa wanyama vipenzi wa kigeni yamechochea kasi ya ujangili katika bara licha ya kampeni za uhifadhi na udhibitiUchambuzi
Jinsi kobe walio katika hatari ya kutoweka hupata nafasi zaidi ya kuishi nchini Tunisia
Kasa ni miongoni mwa wanyama walio hatarini kutoweka duniani. Ili kuwaokoa na kuhakikisha kuendelea kwa kuwepo kwao, wanyama hawa wa majini wanachunguzwa katika kituo kinachoitwa Kituo cha Huduma ya Kwanza kwa Wanyama wa Majini huko Sfax, Tunisia
Maarufu
Makala maarufu