- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Wakimbizi Sudan
Matokeo ya 10 yanayohusiana na Wakimbizi Sudan yanaonyeshwa
Afrika
Mashirika ya kibinadamu yaionya dunia kuhusu njaa Sudan
Takwimu zinaonyesha kuwa mzozo wa Sudan umelazimisha idadi kubwa ya watu kuhama makazi yao. Zaidi ya watu milioni 11 wamehamishwa nchini humo, na wengine milioni tatu wanatafuta hifadhi nchini Chad, Misri, Sudan Kusini na mataifa mengine jirani.
Maarufu
Makala maarufu