Afrika
Je, tetemeko la ardhi Kenya linahusiana na maandamano dhidi ya serikali?
Mji mkuu wa Kenya, Nairobi, ulitikiswa na tetemeko siku ya Jumanne huku wengine wakielekea mitandao ya TikTok na X kudai kuwa inahusiana na maandamano yanayoendelea dhidi ya serikali. Wataalam wanatupilia mbali uzushi kama huo.
Maarufu
Makala maarufu