Afrika
Maandamano ya Nigeria: Kwa nini uzalendo unatiliwa shaka
Hisia kali zatoka kwa baadhi ya Wanigeria, kama vile kupeperusha bendera ya kigeni wakati wa maandamano ya kupinga mfumuko wa bei nchini Nigeria, yameibua mjadala kama matendo hayo yanasababisha kupunguwa kwa uzalendo miongoni mwa raia.Afrika
Jinsi biashara zinavyopata hasara machafuko yakiendelea Nigeria
Uporaji na ghasia Nigeria kwa kutumia kisingizio cha maandamano ya kupinga mfumuko wa bei zimesababisha madhara makubwa kwa wafanyabiashara, kuharibu biashara nyingi, kupoteza nafasi za kazi, na kuwafanya wamiliki kuwa na wasiwasi wa kuwekeza tena.
Maarufu
Makala maarufu