Afrika
Rwanda: Maagizo mapya dhidi ya Marburg katika nyumba za ibada
Bodi ya Utawala ya Rwanda imesema viongozi wa dini sasa wanafaa kuhakikisha wanachukua kikamilifu hatua za kusaidia kuzuia maambukizi dhidi ya Marburge katika maeneo yote ya ibada ili kuwalinda waumini dhidi ya kuambukizwa virusi hivyo.
Maarufu
Makala maarufu