Michezo
AFCON 2023: Kitendawili kwa Nyota wa Kimataifa wa Kiafrika
Wakati maandalizi ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) yakizidi kushika kasi, kuna mapambano yanayoendelea nje ya uwanja kati ya mashirikisho ya soka na vilabu tajiri vya Ulaya kuhusu ratiba inayokinzana na msimu wa kimataifaMichezo
Timu za Afcon 2023 Kamili: Cameroon na Namibia wakamilisha jumla ya timu 24
Mabingwa mara 5 Cameroon na Namibia wamejiunga na timu 22 zilizofuzu awali ikiwemo wenyeji Cote D'ivoire na kukamilisha timu zitakazotua droo itakayofanyika Abidjan tarehe 12 Oktoba 2023 kabla ya kombe hilo litakalofanyika Januari mwaka ujaoMichezo
Taifa Stars au Uganda? Tiketi iliyosalia kutua AFCON yafufua uhasimu kati ya majirani
Michuano ya mwisho ya Kundi F kufuzu kwa Kombe la Mataifa bora Afrika AFCON 2023, imeibua hamasa kali kati ya Uganda na Tanzania. Kila mmoja ana nafasi ya kufuzu, au kwenda nyumbani kwani ni tiketi moja pekee iliyobaki kufika Côte d'Ivoire
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu