Ulimwengu
Putin aomba radhi kwa Aliyev kwa mkasa wa ajali ya ndege ya Azerbaijan
Rais wa Azerbaijan Aliyev anamwambia Putin kwamba ndege ya abiria katika anga ya Urusi ilikabiliwa na uingiliaji mkubwa wa kimitambo na kiufundi, na kusababisha kushindwa kudhibiti na kuelekezwa mji wa Aktau wa Kazakhstan.Afrika
Kwa nini nchi tajiri zinatakiwa zilipe zaidi katika mabadiliko ya tabia nchi?
Katika mkutano wa COP 29 uliokamilika Azerbaijan, nchi zinazoendelea hazijafurahia uamuzi wa kuchangia kiasi cha dola bilioni 300 kila mwaka ifikapo 2035 kwa ajili ya mikakati ya kukabiliana na athari ya mabadiliko ya tabia nchi.Türkiye
Uturuki inasherehekea kumbukumbu ya miaka 15 ya Jumuiya ya Mataifa ya Kituruki
Baraza la Mataifa ya Kituruki, linalojumuisha Azerbaijan, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Uturuki, Uzbekistan, na wanachama 3 waangalizi, linalenga kuunganisha ulimwengu wa Kituruki kupitia maadili ya pamoja ya kihistoria na kitamaduni.
Maarufu
Makala maarufu