Afrika
Mahakama yasitisha tangazo la Serikali kufuta vijiji Ngorongoro
Hivi karibuni, katika tangazo la Serikali, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) wa Tanzania, Mohamed Mchengerwa alitangaza kuvifuta vijiji vyote ndani ya tarafa ya Ngorongoro, iliyoko Arusha, Tanzania.Afrika
Jamii inavyochukua hatua kuwaokoa punda nchini Tanzania
Licha ya umuhimu wao kwenye shughuli za kila siku za binadamu, Afrika imeshuhudia idadi kubwa ya punda wakichinjwa sio kwa ajili ya nyama yake tu, bali ongezeko la mahitaji ya ngozi ya mnyama huyo kwa ajili ya kutengenezea dawa barani Asia.
Maarufu
Makala maarufu