Afrika
Mlinzi kwa Baba, Mpinduzi wa Mwana: Mfahamu Kiongozi mpya wa Gabon Brice Oligui Nguema
Jenerali Brice Oligui Nguema, anasemekana kuwa binamu wa Rais aliyeondolewa madarakani Ali Bongo Ondimba. Nguema ndiye kiongozi mpya wa Gabon baada ya Wanajeshi kumteua kuongoza nchi hiyo baada ya kumuondoa Rais Ali Bongo siku ya Jumatano.
Maarufu
Makala maarufu