Afrika
Jiji la Rabat lapata sifa ya maktaba ya ulimwengu
Uamuzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) la kuipa Rabat hadi ya mji mkuu wa vitabu ulimwenguni, ukiwa ni mji wa tano Afrika kuwa na sifa hiyo, ni ishara ya kuenzi utajiri wa fasihi na utamaduni nchini Morocco.Afrika
UNESCO yaorodhesha uharibifu wa vitabu vitakatifu kama uhalifu wa chuki
"Wakati nikieleza uungaji mkono wetu katika kupambana na aina zote za uhalifu wa chuki, nilisisitiza ongezeko la kutisha la uhalifu unaohusishwa na chuki dhidi ya Uislamu katika miaka ya hivi karibuni," anasema mjumbe wa Uturuki.
Maarufu
Makala maarufu