Türkiye
Erdogan, Orban wajadiliana ukuzaji uhusiano wa Uturuki na Hungaria
Rais Erdogan na Waziri Mkuu Orban wamejadiliana namna ya kuimarisha uhusiano kati ya Uturuki na Hungaria na kwa kuongeza ujazo wa biashara hadi kufikia dola bilioni 6 kupitia sekta ya nishati, ushirikiano na mambo ya kikanda.
Maarufu
Makala maarufu