Afrika
Jinsi mwanafunzi aliyeacha shule alivyobuni jiko la mafuta taka Senegal
Mfua chuma mbunifu kutoka Senegal hakuruhusu ukosefu wa shahada ya kitaaluma kumzuia kubuni 'jiko linalotumia mafuta taka' ambalo linawapa wanavijiji mafuta mbadala ya bei nafuu kuliko nishati ya gharama kubwa kama kuni, gesi, na umeme.
Maarufu
Makala maarufu