- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Rais Wa Uturuki
Matokeo ya 12 yanayohusiana na Rais Wa Uturuki yanaonyeshwa
Türkiye
Uturuki iko imara kuondoa vitisho vya kigaidi— Erdogan
Rais Erdogan amesisitiza utayari wa Uturuki wa kuondoa vitisho vyovyote vya ndani na nje ya mipaka yake, huku ikiendelea kuimarisha sekta yake ya ulinzi yenye thamani ya dola bilioni 100, kufuatia tukio la wiki iliyopita katika kiwanda cha TAI.Türkiye
Meli ya Kituruki ya Oruç Reis yaelekea Somalia kwa shughuli za kitafiti
Meli ya utafiti ya Oruç Reis ambayo pia ni fahari ya Uturuki katika uchunguzi wa baharini, ikipita katika mlango wa bahari wa Istanbul kuelekea nchini Somalia kwa ajili ya shughuli za uchunguzi wa gesi asilia, mafuta na mitetemo katika ukanda huo.
Maarufu
Makala maarufu