Afrika
Ghana kuiunga Kenya mkono kinyang'anyiro cha uenyekiti Tume ya AU
Wakati huo huo, Rais Ruto aliihakikishia Ghana kuwa Kenya itaiunga mkono katika kuwania nafasi ya Katibu Mkuu wa Jumuia ya Madola kwa kipindi cha 2024-2029. Nafasi hiyo itagombewa na Bi Shirley Botchwey, Waziri wa Kigeni na Ushirikiano wa Kikanda.
Maarufu
Makala maarufu