Uchambuzi
Kwa nini ubinafsishaji wa bandari Afrika Mashariki umekuwa mjadala mkubwa?
Nchi nyingi za kimataifa zina dhamiria kuendesha bandari Afrika huku siku za hivi karibuni, baadhi ya waendeshaji wakubwa wa kimataifa wanaosimamia bandari mbali mbali duniani, wakielekeza macho yao katika ukanda wa Afrika Mashariki.Maisha
Kenya: Maktaba kubwa zaidi inayoelea duniani yatia nanga katika Bandari ya Mombasa
Ni ziara yake ya kwanza ya meli ya MV Logos Pwani ya Afrika Mashariki baada ya ya miaka 18 tangu kutembelewa na meli ya MV Dulos mnamo 2005. Maktaba hiyo itafunguliwa kwa umma kuchagua vitabu wanavyovipenda vya aina mbalimbali
Maarufu
Makala maarufu