Afrika
Wanaharakati nchini Senegal walalamika kusitishwa kwa mawasiliano ya simu
Upatikanaji wa mtandao wa simu nchini Senegal ulisitishwa Jumanne kwa mara ya pili mwezi huu. Wizara ya Mawasiliano imesema, baada ya mamlaka kupiga marufuku maandamano dhidi ya kucheleweshwa kwa uchaguzi wa urais wa Februari.
Maarufu
Makala maarufu