Afrika
Raia wa Marekani akamatwa Kenya kwa ulaghai wa dhahabu
Antonucci Sergio Patrick alifikishwa katika Mahakama ya Milimani akikabiliwa na shtaka la Kula njama ya kutenda kosa na kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu, kufuatia kukamatwa kwake Disemba 15, 2024 baada ya kuingia nchini kutoka Dubai.
Maarufu
Makala maarufu