Michezo
Shujaa wa Kombe la Dunia kutoka Uhispania, Carmona, ametoa heshima kwa baba yake aliyefariki kabla ya fainali
Shujaa wa Kombe la Dunia la Wanawake wa Uhispania, Olga Carmona, alitoa heshima kwa baba yake Jumatatu kwa kumpa nguvu "kufanikisha jambo la kipekee" baada ya kufahamu kifo chake kufuatia ushindi wa 1-0 wa taifa hilo dhidi ya Uiengereza
Maarufu
Makala maarufu