- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Felix Tshisekedi
Matokeo ya 12 yanayohusiana na Felix Tshisekedi yanaonyeshwa
Afrika
Rais wa DRC Félix Tshisekedi, asema yuko tayari kufanya mazungumzo na Rais wa Rwanda, Paul Kagame
Viongozi hao wawili, Félix Tshisekedi na Paul Kagame wamekuwa wakitofautiana juu ya mashambulio ya waasi wa M23 Mashariki mwa DRC yaliyowaua mamia ya watu na kuwahamisha zaidi ya milioni moja tangu 2021.Afrika
DRC yazituhumu Umoja wa Ulaya, Rwanda kwa wizi wa rasilimali zake
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inadai kuwa Rwanda na Umoja wa Ulaya zimekuwa zikiwaunga mkono waasi wa M23, ambao wamefanya mashambulizi ya mara kwa mara Mashariki mwa nchi hiyo. Tuhuma ambazo Rwanda siku zote imekuwa ikizikana.
Maarufu
Makala maarufu