Afrika
Jamii inavyochukua hatua kuwaokoa punda nchini Tanzania
Licha ya umuhimu wao kwenye shughuli za kila siku za binadamu, Afrika imeshuhudia idadi kubwa ya punda wakichinjwa sio kwa ajili ya nyama yake tu, bali ongezeko la mahitaji ya ngozi ya mnyama huyo kwa ajili ya kutengenezea dawa barani Asia.Türkiye
Polisi wa Uturuki wamewakamata watu 6 kwa madai ya ujasusi kwa Wachina kuhusu Uighurs
Operesheni ya Jumanne ni sehemu ya uchunguzi unaoendelea kuhusu ugaidi na uhalifu uliopangwa, kwani vyanzo vya mahakama vinafichua kwamba washukiwa saba walikusanya taarifa za watu binafsi na mashirika kutoka Mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uighur.Uchambuzi
Tafsiri na ukuaji wa lugha: Jinsi zana za teknolojia zinavyotumika
Jinsi ukuaji wa teknolojia unavyosababisha kuchukua jukumu la Watafsiri wa kitaalamu wa lugha Barani Afrika ambao wanafanya kazi katika Kutafsiri zaidi ya lugha 2,000 kwa sasa wanatumia ukuaji wa teknolojia kwenye kazi zao.
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu