Afrika
Spika wa Bunge la Uganda ailaumu serikali kwa kutomuomboleza mbunge
Tofauti na wakati mwingine ambapo kwa kawaida Waziri Mkuu Robinah Nabbanja au maafisa wa serikali huongoza upande wa Serikali katika kutoa heshima wakati wa vikao maalum, safari hii, Serikali ilionekana kutelekeza kikao cha marehemu Ssegirinya .Habari
Bunge la Uganda yapitisha sheria ya kupambana na dawa za kulevya
Hii inakuja baada ya Shirikisho linalopambana na madawa ya kusisimua misuli duniani yaani World Anti-Doping Agency kubaini Sheria ya taifa ya Michezo Uganda halifanyi Shirika la Uganda la Kupambana na Madawa ya kuongeza nguvu kuwa huru.
Maarufu
Makala maarufu