Afrika
Kamati ya bunge nchini Kenya yataka Worldcoin isitishwe na kutimuliwa nchini
Serikali ilisitisha mradi huo mapema Agosti kufuatia pingamizi ya ukosefu wa uhifadhi wa data juu ya upekuzi wake na kuchukua data za macho ya watumiaji badala ya kupata kitambulisho cha kidijitali ili kuunda "utambulisho na mtandao mpya wa kifedha".
Maarufu
Makala maarufu