Afrika
Jinsi ubaguzi wa ukadiriaji wa mikopo unaathiri Afrika
Utafiti wa UNDP wa ukadiriaji wa mikopo huru katika uchumi wa Afrika unaonyesha kwamba 'ubaguzi wa vigezo' vya mkopo vinavyozingatiwa na 'S&P, Moody's na Fitch' uligharimu bara la Arika takriban bilioni $74.5 za riba ya ziada na kukosa ufadhili.
Maarufu
Makala maarufu