- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Antonio Guterres
Matokeo ya 12 yanayohusiana na Antonio Guterres yanaonyeshwa
Türkiye
Erdogan ahimiza umoja wa kimataifa dhidi ya mauaji ya kimbari ya Israeli huko Palestina
Katika mkutano wake na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Guterres, Rais Erdogan anatoa wito wa kukomeshwa kwa mauaji ya Israeli na kuhimiza kuongezwa misaada ya kibinadamu kwa Gaza huku hali ikizidi kuwa mbaya.Afrika
Fahamu zaidi kuhusu Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la UN 2024
Mkutano Mkuu wa 79 wa Baraza Kuu la UN 2024 ( UN General Assembly, UNGA), mojawapo ya mikutano mikubwa zaidi ya kidiplomasia duniani, huwaleta pamoja wakuu wa nchi na serikali kutoka nchi wanachama. Mwaka huu utafanyika kuanzia Septemba 24-30.Afrika
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Fidan, Katibu Mkuu wa UN Guterres wajadiliana maendeleo ya kikanda
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres walibadilishana mawazo kuhusu yanayoendelea kwa wapalestina mjini Gaza, vyanzo vya kidiplomasia vinasema.Afrika
Uturuki, Cyprus ya Ugiriki zashindwa kufikia makubaliano-Tartar
Rais wa Jamhuri ya Uturuki ya Kupro ya Kaskazini (TRNC) Ersin Tatar akutana na Mkuu wa Umoja wa Mataifa Guterres, na kusisitiza kwamba hawatopata maelewano juu ya haki zao na hawatorudi nyuma katika sera ya "usawa huru na hadhi sawa ya kimataifa."
Maarufu
Makala maarufu