Afrika
Afya ya akili: Jinsi hatua rahisi zinavyohitajika ili kushikilia mkondo
Kuzungumza juu ya afya ya akili sio mwiko tena katika ulimwengu ambao umeibuka kuvunja kimya, kinachowatesa mamilioni ya watu wanaopitia changamoto za maisha ya kisasa, wakati mwingine bila wale walio karibu nao kutambua.Maisha
Jinsi askari wa Morocco wanavyowapa furaha watoto kwa kutumia sanaa kuwafurahisha baada ya tetemeko la ardhi
Sanaa ya Uchoraji, hususani kupaka rangi na sanaa nyingine ni miongoni mwa shughuli nyingi za kufurahisha ambazo askari wa Morocco wamezitumia kwa watoto katika kuonyesha msaada ili kuwafariji baada ya tetemeko lililowakumba hivi karibuniAfrika
Emily Banyo: Mwanamke wa Uganda alietengeneza michezo ya chemsha bongo kwa ajili ya afya ya akili
Ubongo wa binadamu ni chombo changamani cha kutatua matatizo - wakati ukiwa umekwama au haujakwama na hali ya maisha ya siku zilizopo, zilizopita na za nyuma huku ukiwa unashughulika na kushughulikia mihangaiko ya siku zijazo.
Maarufu
Makala maarufu