- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Afrika Magharibi
Matokeo ya 12 yanayohusiana na Afrika Magharibi yanaonyeshwa
Afrika
Mapinduzi Niger: Mitazamo ya usalama na kiuchumi yabadilika ndani ya mwaka mmoja
Mwaka mmoja baada ya mapinduzi ya Niger, wasiwasi miongoni mwa wananchi watoweka huku serikali ikitekeleza hatua kali, kama vile kukata uhusiano na nchi za Magharibi zenye kujinufaisha na kuunda muungano mpya, kujenga msingi wa utulivu na maendeleo.Afrika
Jinsi mataifa ya Magharibi yanavyonyonya Afrika kwa kutumia wakala
Afrika bado inatakiwa kusitisha kutumikiwa na wapiganaji mamluki wa ukoloni huku makampuni binafsi ya kijeshi na usalama yanayodhibitiwa na madola ya Magharibi yakiendelea kuwa na ushawishi katika mienendo yake ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.Afrika
Niger inakaribisha wajumbe wakuu wa Uturuki baada ya kuitimua Marekani na Ufaransa
Mwanadiplomasia mkuu wa Uturuki Hakan Fidan, afanya ziara rasmi katika taifa hilo la Afrika Magharibi ili kujadili uhusiano wa kisiasa na kiuchumi kati ya nchi hizo mbili, na matukio ya sasa katika eneo la Sahel.
Maarufu
Makala maarufu