Afrika
Naibu rais Mpya wa Kenya aahidi ushirikiano na Rais
Kithure Kindiki, msomi ambae amekuwa katika ulingo wa siasa kwa takriban muongo mmoja, anaingia katika historia ya kuwa Naibu Rais wa tatu tangu nchi hiyo kupata katiba mpya mwaka 2010 ambayo ilibadilisha mchakato wa kumpata na kumuondoa Naibu Rais.
Maarufu
Makala maarufu