Afrika
Putin anataka kuendelea na makubaliano ya nafaka ya Bahari Nyeusi: Rais Erdogan
Licha ya kusitishwa kwa ushiriki wa Moscow katika mpango wa nafaka wa Bahari Nyeusi, Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan alielezea kuwa ana imani ya kwamba Rais wa Urusi Vladimir Putin ana nia ya kuendelea kwa makubaliano hayo
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu