Afrika
Kiongozi wa ibada ya njaa Kenya afikishwa mahakamani
Paul Mackenzie na wenzake 94 wamefikishwa katika Mahakama ya Malindi kujibu mashtaka 191 kufuatia vifo vya zaidi ya watu 420, ambao wanaaminika kushawishiwa kushinda njaa, kama sehemu ya ibada yao ndani ya msitu wa Shakahola, Kilifi County.Afrika
Makala Maalum: Kwa heri 2023, kwa heri Shakahola
Mwaka 2023 utakumbukwa kwa mingi, lakini kubwa ni mauaji ya kutisha yaliyotokea pwani ya Kenya katika msitu wa Shakahola ambapo mamia ya waumini wa dhehebu la Good News International Ministry walipoteza maisha baada ya kukaa muda mrefu bila chakula.
Maarufu
Makala maarufu