- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Rais Recep Tayyip Erdogan
Matokeo ya 8 yanayohusiana na Rais Recep Tayyip Erdogan yanaonyeshwa
Türkiye
Katika Picha: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Uturuki, waashiria ukomavu wa demokrasia ya taifa
Raia wa Uturuki wanashiriki katika mchakato wa kidemokrasia kwa namna pekee sana, kutoka kwa wazee wanaopiga kura zao katika vituo vya kupigia kura ndani ya nyumba za wazee hadi wapiga kura waliovalia kitamaduni.Türkiye
Juhudi za amani Gaza 'kutozaa matunda' kutokana na Marekani, asema Erdogan
Mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza yameingia siku ya 132 na kuua wapalestina 28,663 na kujeruhi wengine 68,395 huku majeshi ya Israel yakishurutisha raia wa Palestina waliochukua hifadhi katika hospitali ya Nasser kuondoka mara moja.Türkiye
Mkewe Rais Emine Erdogan awapokea wake wa wakuu wa nchi kwenye jengo la Uturuki, New York
Emine Erdogan, mke wa Rais Recep Tayyip Erdogan, ambaye yuko Marekani kama sehemu ya mikutano ya Mkutano Mkuu, ameandaa maonyesho ya bidhaa kongwe za kusuka za Anatolia kwa wake wa Marais na wakuu wa nchi aliowakaribisha.
Maarufu
Makala maarufu