Ulimwengu
Wakristo Gaza waomba amani huku mashambulizi ya Israeli yakiendelea
Mauaji ya kimbari ya Israeli huko Gaza, yaingia siku yake ya 446, yamesababisha vifo vya Wapalestina 45,338 na wengine 107,764 kujeruhiwa. Nchini Lebanon, Israel imewauwa watu 4,048 tangu Oktoba na kuendelea kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano,Ulimwengu
Vita vya Israeli Gaza vinajumuisha 'mauaji ya halaiki' - Amnesty International
Kufuatia uchunguzi wa miezi kadhaa kuhusu matukio na taarifa kutoka kwa maafisa wa Israeli, shirika hilo la kutetea haki za binadamu lenye makao yake London, limesema matokeo ya ripoti hiyo yanaunga mkono madai ya ukiukwaji wa sheria za kimataifa.
Maarufu
Makala maarufu