Afrika
Msumbiji: Rais Nyusi aomba msaada toka jumuiya za kimataifa kukabiliana na vurugu baada ya uchaguzi
Katika kikao chake na mabalozi kilichofanyika jijini Maputo, Nyusi ambaye anaondoka madarakani baada ya kuhudumu kwa kipindi cha mihula miwili, alisisitizia umuhimu wa amani kwa maendeleo ya nchi hiyo baada ya kukamilika kwa uchaguzi wa mwaka 2024.Afrika
Umoja wa Afrika walaani vurugu baada ya uchaguzi nchini Msumbiji
Tume ya AU imesema Mwenyekiti anaendelea kufuatilia kwa karibu matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Msumbiji uliofanyika Oktoba 9, 2024 na anaeleza wasiwasi wake kuhusu matukio ya ghasia za baada ya uchaguzi na hasa mauaji ya hivi karibuni.
Maarufu
Makala maarufu