Michezo
Kushindwa kwa FIFA kuchukua hatua dhidi ya Israeli kunaonyesha hali ya ufisadi wa kimaadili, kisiasa
Shirikisho la soka duniani liliizuia Urusi kushiriki katika mchezo huo ndani ya wiki chache baada ya kuishambulia Ukraine, lakini inchukua muda kutekeleza hatua kama hio dhidi ya Israeli. Kwa nini?Uchambuzi
Kwa nini michezo ya jadi ya Kiafrika inastahili kuwepo katika Olimpiki
Bara ni hazina ya michezo ya kitamaduni inayohitaji muundo na utangazaji sahihi wa kimataifa ili kujiunga na orodha inayopanuka ya taaluma za Olimpiki, baadhi ya michezo hiyo ikianza kwa mara ya kwanza kwenye Michezo ya ParisMichezo
Orhan Ayhan: Mtangazaji wa michezo Mturuki avunja rekodi ya dunia
Katika kazi yake yote, Orhan ameshuhudia rekodi zikivunjwa. Amewaona watu mbalimbali. Ameona hadithi za ushindi, vikombe na vyeo vikitolewa sasa na yeye hatimae kuvunja rekodi ya dunia kwa kuhudumu muda mrefu zaidi tasnia ya utangazaji michezo.Michezo
Mama yake rais wa soka wa Uhispania Rubiales, afanya mgomo wa njaa kumtetea mwanawe
Rubiales alisimamishwa kazi siku ya Jumamosi na FIFA kufuatia busu lake mdomoni mwa nyota wa timu ya taifa ya wanawake Jenni Hermoso, wakati wa hafla ya utoaji tuzo baada ya Uhispania kushinda kombe la dunia mjini Sydney.
Maarufu
Makala maarufu