Michezo
Ni nani Mtanzania Bernard Kamungo anayeng'ara ligi ya soka Marekani mbali na Messi?
Kamungo alizaliwa katika Kambi ya Nyarugusu, Tanzania, na Maisha yake yalibadilika akiwa na umri wa miaka 14, baada ya shirika la Kimataifa la Uokoaji International Rescue Committee kuihamishia familia yake Marekani.
Maarufu
Makala maarufu