- Ukurasa wa nyumbani
- Maoni
Jamhuri Ya Kidemokrasia Ya Congo
Matokeo ya 12 yanayohusiana na Jamhuri Ya Kidemokrasia Ya Congo yanaonyeshwa
Afrika
Ofisi ya Uhuru Kenyatta yasema juhudi zake kwa amani ya DRC hazizingatiwi
Mchakato wa Nairobi ( Nairobi Process) kama unavyofahamika ni mchakato unaoongozwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki kama mpango wa amani wa kikanda unaolenga kutatua mzozo Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).Afrika
Serikali ya DRC 'yasikitishwa' na uharibifu wa ofisi za ubalozi nchini humo
Katika taarifa yake iliyotolewa Januari 28, 2025 saa chache baada ya kutokea kwa uharibifu huo, serikali ya nchi hiyo imeeleza kusikitishwa na vitendo hivyo, huku ikiahidi kutoa ulinzi kwa maofisa wa ubalozi wa mataifa mbalimbali nchini DRC.
Maarufu
Makala maarufu