Ulimwengu
Uturuki imelaani kuvamiwa kwa Al-Aqsa na waziri wa Israeli chini ya ulinzi wa usalama
Wizara ya mambo ya nje Uturuki inasema mauaji ya halaiki yanayoendelea Gaza, pamoja na vitendo vya uchochezi vya mamlaka ya Israeli vinavyonuia kubadilisha hadhi ya kihistoria ya Msikiti wa Al-Aqsa, vinatishia usalama na utulivu wa eneo hilo.Ulimwengu
Wakristo Gaza waomba amani huku mashambulizi ya Israeli yakiendelea
Mauaji ya kimbari ya Israeli huko Gaza, yaingia siku yake ya 446, yamesababisha vifo vya Wapalestina 45,338 na wengine 107,764 kujeruhiwa. Nchini Lebanon, Israel imewauwa watu 4,048 tangu Oktoba na kuendelea kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano,Ulimwengu
Vita vya Israeli Gaza vinajumuisha 'mauaji ya halaiki' - Amnesty International
Kufuatia uchunguzi wa miezi kadhaa kuhusu matukio na taarifa kutoka kwa maafisa wa Israeli, shirika hilo la kutetea haki za binadamu lenye makao yake London, limesema matokeo ya ripoti hiyo yanaunga mkono madai ya ukiukwaji wa sheria za kimataifa.Ulimwengu
Wimbi laugeukia Israeli kufuatia hati za kukamatwa na kura ya Seneti Marekani
Benjamin Netanyahu anakabiliwa na kesi katika Mahakama ya ICC kwa uhalifu wake wa kivita huko Gaza. Wakati huo huo Bunge la Seneti la Marekani linavunja utamaduni wake kwa kujadili mauzo ya silaha kwa mshirika wake wa muda mrefu.
Maarufu
Makala maarufu