Michezo
Mambo 10 unayotakiwa kuyajua kuhusu George Weah, rais wa Liberia
Mbali na kuchaguliwa kuwa rais wa Liberia 2017, nyota wa zamani wa soka George Weah ndiye mwanasoka wa kwanza na pekee wa Afrika hadi leo aliyeshinda tuzo maarufu ya Ballon D'or, pamoja na tuzo ya mwanasoka bora duniani, FIFA 1995.Afrika
Liberia: Kiongozi wa upinzani Boakai amzidi George Weah kwa kura, lakini hati hati uchaguzi kurudiwa
Kutokuwa na mshindi wa wazi kati ya Rais George Weah na Makamu wa Rais wa zamani Joseph Boakai kwenye kinyang'anyiro cha urais, baada ya asilimia 92.82% ya kura kuhesabiwa, inadokeza kuwa raia wa Liberia watarejea kupiga kura
Maarufu
Makala maarufu