Afrika
Upinzani Tanzania yalaani kukamatwa kwa viongozi wake
Kwa upande wake, msemaji wa Chadema John Mrema, ameithibitishia TRT Afrika, kwamba miongoni mwa waliokamatwa ni pamoja na Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika, Tundu Lissu, Joseph Mbilinyi almaarufu Sugu pamoja na viongozi wengine wa BAVICHA.
Maarufu
Makala maarufu